Baadhi ya washiriki wa Tamasha hilo wakifuatilia maada mbalimabli
Mchambuzi Mkuu wa Sera kutoka Mtandao wa Jinsia (TGNP), Marjorie akichangia katikaTamasha hilo
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka akizungumza wakati wa Tamasha la Tano la Kigoda la Kitaalamu la Mwalimu Nyerere linaloendelea katikaChuo Kikuu cha Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment