Mkurugenzi
wa matukio wa Kampuni ya Tanzania Homes Expo, Zenno Ngowi akizungumza na
waandishi wa habari, Dar es Salaam jana
kuhusu maonyesho ya siku tatu ya Nyumba yatakayofanyika juni katika Ukumbi wa Mlimani
City. Kushoto ni Meneja biashara na
mauzo, Mesha Gobba na kulia Mratibu wa matukio, Happie Pascal.
Mkurugenzi
wa matukio wa Kampuni ya Tanzania Homes Expo, Zenno Ngowi akizungumza na
waandishi wa habari, Dar es Salaam jana
kuhusu maonyesho ya siku tatu ya Nyumba yatakayofanyika juni katika Ukumbi wa Mlimani
City. Kushoto ni Meneja biashara na
mauzo, Mesha Gobba
No comments:
Post a Comment