Mke wa Rais Mama
Salma Kikweteakipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa maabara wa kituo cha afya
cha Mlandizi ,wilayani Kibaha katika mkoa wa Pwani, Bwana Sostenes Nyang’olo, jinsi ya kuchukua vipimo vya damu
na makohozi kutoka kwa wagonjwa wakati wa uzinduzi wa wiki ya chanjo kitaifa
iliyofanyika huko Mlandizi
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mwantum Maiza wakati wa uzinduzi wa chanjo kitaifa.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpatia chanjo ya motto Haula Mlondwa
,miezi 6, kutoka katika kijiji cha Vigwaza, wilayani Kibaha, ikiwa ni uzinduzi
rasmi wa wiki ya chanjo kitaifa iliyoadhimishwa huko Mlandizi
No comments:
Post a Comment