MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 21, 2013

LOWASSA AKABIDHIWA TUZO NA KANISA

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akipokea tuzo kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Overcomers, Dk Boaz Sollo alipohudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa hilo na kituo cha redio mkoani Iringa
 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akipokea tuzo kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Overcomers, Dk Boaz Sollo alipohudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa hilo na kituo cha redio mkoani Iringa. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Christine Ishengoma

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (wapili kulia) akishirikiana na wabunge kuwimba nyimbo za dini wakati akiongoza harambee ya ujenzi wa Kanisa la Overcomers na kituo cha redio cha kanisa hilo mjini Iringa jana. kutoka kushoto ni Mbunge wa Mufindi Kusini, Menrad Kigola, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Ritha Kabati, Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe

No comments:

Post a Comment