MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 21, 2013

DIAMOND AFUNIKA MKUTANO WA HADHARA WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOANI MOROGOPRO



Msanii Nasibu Abdul 'Diamondi' akitumbuiza kwenye mkutano wa  hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika mkoani Morogoro .

Msanii Nasibu Abdul 'Diamondi akiwa amebebwa na wasanii wenzake
Wfuasi na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment