MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 21, 2013

YANGA YABAKISHA POINTI MOJA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA, YAICHAPA JKT RUVU 3-0 TAIFA

Nadir Horoub'Canavaro' akimongeza Simon Msuva baada ya kupachika bao dghidi ya JKT RUVU wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

Wachezaji wa Yanga, wakimpongeza mshambuliaji wa timu hiyo,  Simon Msuva baada ya kufunga  bao la kwanza dhidi ya Jkt Ruvu, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva, akimtoka beki wa JKT Ruvu,  Damas Makwaya, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika Uwanja wa Taifa ,Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 3-0

No comments:

Post a Comment