MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, April 16, 2013

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM MKOANI MOROGORO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi kwenye uwanja wa stendi ya mabasi, mjini Ifakara mkoani Morogoro,
 Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Julius Mogela akionyesha kadi yake, kwa wananchi kabla ya kumkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) baada ya kutangaza kuhamia CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika  kwenye stebdi ya mabasi, Ifakara mkoani Morogoro.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifungua Shina la Wakereketwa  wa CCM la tawi la Manjechanga, Ifakara mkoani Morogoro

No comments:

Post a Comment