MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, July 20, 2014

STARS YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI

 Mashabiki wakishangilia baada ya Mshambuliaji Khamis Mcha kufunga goli la pili dhidi ya Msumbji



 Mbwaba Samata akiwa amekabwa na mabeki wawili wa timu ya Taifa ya Msumbji
Khmis Mcha akishangilia baada ya kuipatia timu yake goli la pili

No comments:

Post a Comment