MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, July 22, 2014

NAIBU WAZIRI WA MAJI, AMOS MAKALLA, ASHIRIKI MAFUNZO YA UONGOZI NCHINI MAREKANI


Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akizungumza wakati wa mafunzo uongozi katika chuo cha uongozi cha Leadership Institute, Arlington, Virginia nchini Marekani juzi


Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wenzake katika mafunzo ya uongozi nchini marekani juzi


Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa na Mkufunzi wa  Mafunzo hayo ya uongozi, Dk. Steven Clouse



No comments:

Post a Comment