Chama cha wakulima kutoa elimu kwa wakulima katika maonyesho ya Sikukuu ya wakulima Nanenane itakayofanyika kitaifa mkoani Lindi
Akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana Mwenyekiti wa TASO Taifa, Englibert Moyo alisema elimu itatolewa kwenye Njanja zote zihusuyo kilimo ikiwa ni pamoja na suala zima la Mbole ili kuwezesha wakulima kupata ufahamu wa Mbolea gani feki nasiyo feki
Alisema suala Mbolea ni suala la biashara linalofanywa na wafanyabiashara hivyo watatoa elimu kuhusu na pembejeo katika maonyesho hayo
Englbert Moyo alikuwa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo kuhusia nan a maontyesho hayo ambapo alisema kuwa maonyesho hayo kitaifa yatafunguliwa na Rais wa Zanzibar tarehe 1 Agosti na kufungwa na Rais Jakaya Kikwete kwenye kilele Agosti 8
|
No comments:
Post a Comment