MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, July 24, 2014

MAKALLA ATEMBELEA BUNGE LA MAREKANI

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa na washiriki wenzake nje ya Jengo la Bunge la Marekani

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa na washiriki wenzake waliohudhuria mafunzo ya uongozi nchini Marekani wakipata maelezo ndani ya ukumbi wa Bunge la Marekani

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa ndani ya Treini

No comments:

Post a Comment