Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP. Dk. Reginald Mengi, amewaasa watu wenye ulemavu nchini kuacha kujisikia unyonge kutokana na ulemavu wao pindi wanapotaka kufanya jambo lolote la kuiletea nchi maendeleo, msijifikirie vingine fanyeni kwa kujiamni, aliendelea kusema kwamba Mungu ameumba binadamu wote sawa hakuna aliyebaguliwa kwa hiyo nanyie mko sawa na watu wengine, Mengi alisema hayo wakati wa Ufungunguzi wa Tamasha la Tatu la siku mbili la watu wenye ulemavu Tanzania la kuimarisha ushiriki wa watu wenye ulemavu katika michakato ya kidemokrasia alipo alikwa kuwa mgeni rasimi katika ufungunguzi wa Tamasha hilo lililoanza jijini, Dar es Salaam leo
Dk.Regnald Mengi akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi za Kirai Tanzania, John Ulanga (kushoto) wakati akiingia katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam leo
Dk. Reginald Mengi akifurahia jambo na baadhi ya viongozi wa Asasi za Watu wenye ulemavu . Kushoto ni Mkurugenzi wa Asasi za Kiraia Tanzania, John Ulanga
Dk. Reginald Mengi akiwa na baadhi ya viongozi wa Asasi za Watu wenye ulemavuDk. Reginald Mengi akiwa na baadhi ya viongozi wa Asasi za Watu wenye ulemavu
Baadhi ya watu wenye ulemavu wakiwa katika Tamasha hilo
Mkurugenzi wa Asasi za Kiraia Tanzania, John Ulanga akizungumza wakati wa Tamasha hilo
Dk. Regnald Mengi akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi za Kiraia Tanzania, John Ulanga (kulia)
Mwenyekiti wa Shiviwata
Dk.Gegnald Mengi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha hilo.
Baadhi ya watu wenye Ulemavu wakimpungia mikono, Mwenyekiti wa makampuni ya IPP, Regnald Mengi
Dk. Regnald Mengi na viongozi wa Asasi za watu wenye ulemavu wakipiga makofi na Mkurugenziu Mtendaji wa Asasi za Kirahia Tanzani, John Ulanga (katikati)
Baadhi ya watu ulemavu wakiwa katika Tamasha hilo
Dk. Reginald Mengi, akiondoka baada ya kufungua Tamasha la Watu wenye ulemavu
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, akizungumza na baadhi ya watu wenye ulemavu baada ya kufungua Tamsha hilo
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, akiagana na baadhi ya watu wenye ulemavu baada ya kufungua Tamsha hilo
No comments:
Post a Comment