MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, October 22, 2014

Shirika la ndege la flydubai linasherehekea ukuaji wake wa haraka katika Afrika Mashariki na uzinduzi wa safari mbili za ndege za Tanzania

SHIRIKA la Ndege la flydubay limefungua safari 54 mpya ambazo hapo awali hazikuwa na safari za moja kwa moja hadi Dubai au hazikuwa zinahudumiwa na shirika la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu kutoka Dubai.
Imeunda msafara wa ndege 41 mpya za Boeing 737-800 New Generation na inasubiri kuwasilishwa kwa zaidi ya ndege 100 ifikapo mwisho wa 2023.
Zaidi ya hayo, wepesi na urahisi wa flydubai kama shirika changa la ndege umeimarisha ukuaji wa uchumi wa Dubai, kufuatana na dira ya Serikali ya Dubai, kwa kuanzisha mtiririko wa biashara na utalii katika masoko ambayo hayakuwa na huduma hizi.

No comments:

Post a Comment