Mdau wa habari akijaribu kuchukua matukio wakati wa maadhimisho ya siku ya sheria nchini yaliyoadhimishwa katika viwanja vya Mahakama, Chimala, Dar es Salaam ambapo, Rais Jakaya kikwete alikuwa mgeni rasmi na ikiwa ni ushiriki wake wa mwisho katika maadhimisho hayo akiwa Rais, kutokana na ifikapo oktoba mwaka huu atakuwa anamaliza kipindi chake cha utawala. Picha na amanitanzaniablogspot.com
No comments:
Post a Comment