Viongozi wa vyama vyasiasa wanaounda kamati maalumu inayosimamia
uingizwaji wa vifaa vya wapiga kura na usambazaji nchi nzima. Wamepongeza
Serikali na Tume ya Taifa kwa juhudi kubwa ya maandalizi ya vifaa vya
uchaguzi.
Kamati hii imeundwa na wajumbe wa vyama vyote vya siasa
Tanzania, jeshi la polisi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
"Tumejionea maajabu ya mamilioni ya vifaa hapa ni jambo la
kujivunia sana kwa serikali na wananchi kwa ujumla,Tunaambiwa tumepewa tuzo za
kimataifa kwa kuandikisha wapigakura kwa wakati,na ubora wa BVR Dunia nzima
pongezi Tume" Renatus Mwambi Katibu Mkuu wa CCK
No comments:
Post a Comment