Mama
Salma Kikwete akimpongeza mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM
na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tais
kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako
walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya
televisheni
Mshindi
wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe
Joseph Magufuli akipokea salamu za pongezi kutoka kwa mgombea Urais Mwanamke
Pekee kwa tiketi ya ACT Wazlendo Mama Anna Mghira mara baada ya Mwenyekiti wa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva
kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha
Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara
baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva
kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea
kwa furaha na mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule
Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa
ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu
No comments:
Post a Comment