Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba akizungumza na wananchi
wa Kijiji cha Katurukila na kuwapongeza kwa kuwa Kijiji cha mfano kwa kuonyesha
jitihada za dhati za kuhifadhi mazingira.
Sehemu ya kingo za Mto Mkondoo zilizoharibiwa na uharibifu wa
mazingira Wilayani Kilosa
Candidius Songela akimuonyesha Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba ramani inayo onyesha eneo lenye mgogoro baina
ya wanakijiji wa Katarukila na mwekezaji. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya
Kilombero, James Ihunyo.
No comments:
Post a Comment