MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, October 25, 2011

Ajali ya Basi yaua zaidi ya watu 25 Kibaha mkoani pwani


Mabaki ya basi aina ya Volvo lenye namba za usajili T 5340 AAT likinyanyuliwa baada ya kuanguka na kuungua eneo la misugusugu Kibaha pwani
 Mabaki ya basi hilo

Baadhi ya miili ikipakiwa katika gari la kubebea wagonjwa

Askari wa kikosi cha zimamoto na baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakitafuta miili

No comments:

Post a Comment