MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, October 29, 2011

Robson alipotua Bongo kwa ajili ya kuzindua Kliniki ya Airtel Rising Stars


Mchezaji wa zamani wa timu ya Manchester United, Bryan Robson (kulia), Mtanzangazi kipindi cha Michezo, Radio Clouds, Abdul Mohamed, na mpiga picha wa  Kampuni ya New Habari 2006 limited wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Dimba, Rai, Bingwa, Dimba na the african, Anthony Siame (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na mtaam huyo wakati alipotua nchini kuja kuzindua Kliniki ya Airtel Rising Stars
Mmoja wa vijana wanaohudhuria Kliniki ya Airtel Rising Stars akifanyamazoezi ya GM

No comments:

Post a Comment