Mkazi wa Kitongoji cha Kinyenze, Mary Nathan akipita katika njia ndogo
iliyofunguliwa na mwekezaji raia wa kigeni aliyemiliki ardhi katika
eneo la kitongoji hicho kilichopo Kijiji cha Kipera Wilaya ya Mvomero
Mkoani Morogoro. Mwekezaji huyo analalamikiwa na wakazi wa kijiji
hicho kufunga njia na kuvamia mashamba yao. Wakazi hao bado
wanalalamika kuwa njia hiyo licha ya kufunguliwa lakini
imetengenezwaya kupitisha mifugo kwani ni nyembamba na
hairuhusiwi kupitisha gari wala pikipiki jambo ambalo bado ni kero
kubwa kwa wakazi hao. Picha kwa hisani ya Mroki Mroki

No comments:
Post a Comment