Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu, Marcio Maximo kwenye Hoteli ya JW MARRIOTT ya Rio de Janeiro akiwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu Tunu Pinda. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:
Post a Comment