Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki ya NMB, Imani Kajula akizungumza wakati wa kukabidhi baadhi ya vifaa vya michezo kwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah kwa ajili ya timu ya Taifa Stars inayojiandaa na mchezo wa kufuzu hatua ya makundi ya fainali za kombe la Dunia dhidi ya Chad, Novemba 11. Kulia ni Ofisa habari wa Shirikisho hilo, Michael Wambura

No comments:
Post a Comment