MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, November 3, 2011

Rais arejea kutoka Perth

Rais Dkt Jakaya Kikwete (katikati) Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilai (kushoto) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mama Salma Kikwete wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana wakati alipokuwa anawasili kutoka Perth
 

No comments:

Post a Comment