Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbalawa, akizungumza na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya Simu za mkononi Airtel Tanzania,
Beatrice Singano nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, muda mfupi
baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2012/13
Naibu Waziri, Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akipongezwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya Simu za mkononi Airtel Tanzania, Beatrice Singano nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2012/13
No comments:
Post a Comment