Kikosi cha timu ya Bunge Sports Club kabla ya mchezo na timu ya NMB
Wachezaji wa timu ya Mpira wa Pete ya Bunge wakijianda kwa mchezo na timu ya mpira wa Pete ya NMB
Mchezaji wa timu ya Bunge, Juma Ngwalia akikokota mpira wakati wa mchezo wa kirafiki na timu ya Benki ya NMB
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Mark Wiessing, wakikabidhi mipira kwa wanafunzi wa Shule za Msingi za mkoani Dodoma iliyotolewa na Benki ya NMB
Wachezaji wa timu ya Benk ya NMB wakitoka kupasha kabla ya kuanza kwachezo wa dhidi ya timu ya Bunge Sports Club
Wachezaji wa timu ya Bunge Sports Club wakitoka kupasha wakiongozwa na Nahodha wa timu hiyo, Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo na Mbunge wa Mvomero, Amos Makala
Kikosi cha timu ya Bunge Sports Club wakijianda kukaguliwa kabla ya mchezo wa kwanza kulia ni Kipa wa timu hiyo na Mbunge wa Kinondoni Idd Azan
Wachezaji wa Bunge Sports Club na wa Benki ya NMB wakitoka nje ya Uwanja baada ya kumalizika kwa mchezo huo wa kirafiki
No comments:
Post a Comment