Naibu Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akutana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promosheni
Naibu Waziri Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makala (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promosheni, Alex Msama nje ya Ukumbi mjini Dodoma. Kampu ni hiyo ni mmoja wa wadau wanaoshughulika na wizi wa kazi za wasanii nchini
No comments:
Post a Comment