Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
na Mkuu wa mkoa wa Moropgoro, Joel Bendera (kulia) wakishiriki kubeba
jeneza lenye mwili wa mbunge wa zamani wa jimbo la Kilosa na Mwenyekiti
wa mkoa huo, Alhaji Abdallah Shaweji, wakati wa mazishi yaliyofanyika
leo, Wami Dakawa, wilayani Mvomelo, Morogoro. Alhaji Shaweji alifariki
jana
No comments:
Post a Comment