Afisa
Mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp Limited, Hussein Mbululo (kulia) akifafanua
jambo juu ya Tuzo ya Dhahabu waliyo ipata kutoka Geneva Uswis kwa Ubora wa
huduma zao, kwa waandishi wa Habari waliotembelea banda la Benki hiyo katika
maonesho ya kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika viwanja
vya JK Nyerere maarufu Saba Saba barabara ya Kilwa. Kushoto ni Mkuu wa
Uendeshaji wa Twiga Bancorp,Richard Kombole Pamoja na Ofisa Masoko, Adabert
Alchard
No comments:
Post a Comment