MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, July 1, 2012

A YA KUMUAGA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AFANDE AUGUSTINE NANYARO USIKU WA KUAMKIA LEO 6

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa na naibu wake Mhe Pereira Silima (wa kwanza kushoto) na Jaji Kiongozi  Mhe. Fakihi Jundu (wa pili kulia)  wakiwa meza kuu na  Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro (wa tatu kulia) katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam



Champaigne ikiandaliwa 



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Emmanuel Nchimbi  akigonganisha glasi na Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam




Maafisa wa ngazi mbalimbali wa Magereza na taasisi zingine wakipita meza kuu kumuaga Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro, katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam






No comments:

Post a Comment