Waziri wa Maendeleo, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (kushoto), Mbunge wa Viti maalum (CCM), Rita Kabati wakizungumza nje ya ukumbi wa Bunge Dodoma jana. Kulia ni Mchungaji wa kani la Kiijili la Kirutheli Tanzania Dayosisi ya Iringa Usharika wa Kihesa
Mbunge wa Peramio, Jenster Mhagama akifurahia jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angela Kairuki akiwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupambana na rushwa nchini, Dk Edward Hosea nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. Kulia ni Mbunge wa Igunga(CCM), Dk. Peter Kamfumu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora, George Mkuchika akisoma hotuba ya Bajeti ya mwa 2012/13 ya Ofisi hiyo Bungeni
Leo ndivyo Ukumbi wa Bunge ulivyokuwa
Waziri wa Nchi Ofisi y Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani akijiandaa kusoma hotuba ya Bajeti ya Mwaka 2012/13 Bungeni
Hawa ni baadhi wanafunzi wanaotembelea Bunge ili kujifunza jinsi Bunge linavyoendeshwa ikiwa ni mafunzo ya kimasomo
No comments:
Post a Comment