Naibu
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makalla akimkabidhi
Samson Ramadhani mmoja wa wanamichezo waokwenda kushiriki mashindano ya
Olympic nchini Uingereza inayotarajia kuanza tarehe 27 mwezi huu. Kulia
ni Meneja Mkazi wa Coca Cola , Demeji Olamiyani
Naibu Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Amos Makalla akiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo hao
Naibu Wazir, habari Vijana Utamaduni na Michezo, Amos Makala wa pili kutoka (kulia) akiwa na baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Coca Cola iliyodhamini kusafirisha Vifaa vya wanamichezo wanaoenda kushiriki michezo ya Olympic nchi Uingereza
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amoss Makala akizungumza wakati wa hafla hiyo
No comments:
Post a Comment