Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na mgeni wao Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa maongezi rasmi pamoja na dhifa ya kitaifa
Rais Jakaya akifurahi na Rais wa Liberia alipomkaribisha Ikulu
Rais Jakaa Kikwete akiwa na mgeni wake Rais wa Liberia, Hellen Johnson
No comments:
Post a Comment