MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, July 18, 2012

Spika Anne Makinda ahirisha Bunge kutokana na kuzama kwa Meri

Spika wa Bunge, Anne Makinda ameahirisha Kikao cha Bunge kutokana na taarifa za kuzama kwa Meri iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar Unguja,  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi alisimama na kwa kutumia kanauni ya 58 kifungu kidogo cha tano ili Bunge lisitishe Shughuli kutoka na dharura hiyi iliyotokea

No comments:

Post a Comment