MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, July 19, 2012

Rais Jakaya Kikwete atembelea Majeruhi wa kuzama kwa Meri

Rais Jakaya Kikwete akimpa mpole mmoja wa Majeruhi

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma wakiwa katika Viwanja vya Maisala

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiwa katika Viwanja vya Maisala ambako maiti wamehifadhiwa kwa ajili ya utambuzi

Rais Jakaya Kikwete akiwasalimiana na Majeruhi

No comments:

Post a Comment