MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, July 20, 2012

Rais Kikwete na Rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais katika Swala ya Ijumaa Zanzibar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Sheik na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal wakiongea katika Ikulu ya Zanzibar leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal wakijumuika na wananchi wa Zanzibar katika swala ya Ijumaa katika msikiti wa Mwembe Shauri, Unguja.

No comments:

Post a Comment