MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, July 13, 2012

Rais Kikwete akutana na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Usalama nchini Uingereza

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa  Kamati ya Bunge ya Mambo ya  Nje, Ulinzi na Usalama  Edward Lowassa baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na  wajumbe wa Kamati Bunge ya Mambo ya  Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na  wajumbe wa Kamati Bunge ya Mambo ya  Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012

No comments:

Post a Comment