View the slide show
MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail: antonysiame74@yahoo.com
Wednesday, August 22, 2012
Bodi ya Utalii yakabidhi vyeti kwa walioitangaza Tanzania kupitia Utalii
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Aloyce Nzuki akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watu walioitangaza Tanzania kupitia Utalii baada ya kuwatunukia vyeti wakati wa hafla iliyofanyika, Dar es Salaam jana.
Wa kwanza kutoka Kushoto ni, Wilfred Moshi aliyeitangaza Tanzania kwa kupanda Mlima wa Everest, Juma Nugaz mtayarishaji wa kipindi cha Utalii cha Kambi Popote kinachorushwa na Clouds TV
na Respicius Baitwa ambaye ni Mtanzania wa kwanza kuweka rekodi ya Afrika kwa mwafrika wa kwanza anayetarajia kupanda vilele saba virefu Duniani
Murugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania, Aloyce Nzuki akizungumza wakati wa kukabidhi vyeti
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment