UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA JIJINI HUSTON TX. Tunapenda
kutoa habari hizi kwa waTanzania wote na wapenda maendeleo, Siku ya
Jumamosi Aug 25 kutakuwa na ufunguzi rasmi wa tawi la chama cha
demokrasia na maendeleo CHADEMA Jijini Houston Texas Nchini Marekani,
Wageni rasmi wa ufunguzi wa tawi hilo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe.
Jodeph Mbilinyi (Mr. 2/Sugu) Sherehe za ufunguzi wa tawi hilo zitaanza
mida ya saa 5:PM (Jioni)
No comments:
Post a Comment