Jukwaa kuu katika uwanja wa
Independende Square wakati wa Shughuli mbalimbali za mazishi za
aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa, John Evans Atta Mills katika uwanja wa
Independence Square jijini Accra leo Agosti 10, 2o12
Shughuli mbalimbali za mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John
Evans Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra leo
Agosti 10, 2o12
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie baada ya shughuli
ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana jijini Accra leo
Agosti 10, 2012
No comments:
Post a Comment