MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, August 11, 2012

Kijana alala Barabarani

Kijana mmoja jijini Mwanza aliamua kukaa katikati ya barabra ya Kenyata ili agongwe na gari kwa kilea lichoidaikkuwa kudhulumia Fedha, hata hivo kulitokea watu wasamaria wema wa kuweza kumshauri na hatimaye kuweza kuondokka katika Barabara hiyo Tukio hilo lililtokea hivi karibuni jini humo. Picha na Christopher Gamaina

No comments:

Post a Comment