Waumuni wakiwa kwenye kisoma pamoja na futari hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Hillandale Local Park New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland. Siku ya Jumapili |
Bwana Omar kutoka State ya Philadelphia alimazia kwa kuwakumbusha waumini wa jumuia, umuhimu wa Dini ya Kiislam katika Mwenzi huu Mtukufu wa Ramadhani. |
![]() |
Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO) jana Jumapili katika Mwenzi mtukufu wa Ramadhani wafutarisha pamoja na kuwaombea Dua Jamaa wote waliotangulia mbele ya haki. |
No comments:
Post a Comment