![]()  | |
| kituo cha mabasi ya Daladala eneo la Mikumi Dar es Salaam kiwa kimeanguka chini leo ikiwa siku ya Tatu bila kufanyiwa matengenezo na wahusika | 
![]()  | |
| Pamoja na kuanguka kwa Kituo hicho cha mabasi ya Daladala shughuri za biashara zinaendelea kama kawaida kama inavyoonekanba katika picha | 


No comments:
Post a Comment