MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, November 21, 2012

Jk apokea hati za Utambulisho wa Balozi

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment