Katibu
wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Assaa Rashid akizungumza na Mjumbe
wa Bodi ya Asasi inayoshughulika na uwazi na utawala Afrika Mashariki (OSIEA) wakati
ujumbe huo uliopotembelea Ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Asasi hiyo, Binaifer
Nowroje
No comments:
Post a Comment