Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwahutubia viongozi wa CCM
ngazi mbalimbali mkoani mkoani Mtwara, alipokutana nao kwenye ukumbi wa
Makonde mkoani Mtwara, akiwa katika ziara ya siku moja kutembelea
mashina na matawi ya CCM na kufanya mikutano ya hadhara mkoani humo
Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa
Ndege mjini Mtwara kuanza ziara ya siku moja kutembelea matawi na
mashina ya CCM na kufanya mikutano ya hadhara mkoani humo. Kulia Ni
mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara Mohamedi Sinani.
No comments:
Post a Comment