MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, November 18, 2012

msiba wa Marehemu Jackison Makweta

Jamaa, ndugu na marafiki wa marehemu jackison Makweta wakiwa katika kikao cha kupanga mipango ya mazishi nyumbani kwa maremu Boko nje kidogo ya jiji la Dar es Salaa, Ibada ya kuuaga mwili wa marehemu inatarajia kufanyika kesho nyumbani kwake na kusafirishwa siku ya jumanne kwenda mkoani Njombe kwa mazishi yanayotarajia kufanyika jumatano katika Kijiji cha Igafilo
 Spika wa Bunge, Anne Makinda (kulia) akiwa na Mjane wa Marehemu Jackison Makweta, Twihuvila Makweta (katikati)
 Mmoja wa Ndugu, jamaa na Marafi wa Marehemu Jackison ,akweta, Phelemon Luhanjo akimuongoza Spika wa Bunge, Anne Makinda alipofika katika Msiba huo
 Abbas Kaduma aliyewahi kufanya kazi pamoja na marehemu Jackison Makweta enzi za uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere akiweka saini katika Kitabu cha maombolezo
Baadhi ya Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa wenye huzuni

No comments:

Post a Comment