Wachezaji wa timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys wakishangilia bao lililofungwa na Mudathiri Yahya Abbas dakika ya
15 kwa mpira wa adhabu baada ya mshambuliaji Hussein Twaha
kufanyiwa faulo na Francis Okombi wakati wa mchezo wa kuwani kufuzu kwa Fainali za Afrika kwa Vijana zitakazofanyika nchini Morocco mwakani. Serengeti Boys itacheza mchezo wa marudiano baada ya wiki mbili. Picha na Rahel Pallangyo.
No comments:
Post a Comment