MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, April 17, 2013

MAONYESHO YA HUDUMA ZA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 13

 Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Merina Njelekela akizungumza wakati wa maonyesho hayo
 Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Donald Mbando aliyemwakilisha Waziri Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi kwa ajili ya kuwa mgeni rasmi kwenye maonyesho hayo
 Mkuu wa Kitengo cha Figo, Dk. Linda Ezekiel akimwelezea Dk. Donald Mbando(katikati) jinsi matatizo ya Figo yanavyoanza. Kulia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Merina Njelekela

 Mkuu wa Kitengo cha Figo, Dk. Linda Ezekiel akimwelezea Dk. Donald Mbando(katikati) jinsi matatizo ya Figo yanavyoanza.

Wauguzi wa Kitengo cha wagonjwa wa dharura, Victoria Mlele (kulia) Nemganga Kizega wakifanya kazi ya mfano ya kumuhudumia mtoto mgonjwa aliyefikishwa Hospitali pasipo kujitambua
Wauguzi wa Kitengo cha wagonjwa wa dharura, Victoria Mlele (kulia) Nemganga Kizega wakifanya kazi ya mfano ya kumuhudumia mtoto mgonjwa aliyefikishwa Hospitali pasipo kujitambua

No comments:

Post a Comment