Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa leo ameungna na waombolezaji kumuaga marehemu, Gabriel Makalla, ambaye ni Baba mzazi wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, kufuatia kifo chake kilichotokea jana katika Hospitali ya Kansa ya Ocean Road Dar es Salaam, Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda Kijijini, Kidudwe, wilayani Mvomero mkoani, Morogoro kwa ajili ya mazishi yanayotarajia kufanyika kesho
Jamaa, ndugu na marafiki wakishiriki kuaga mwili wa marehemu, Gabriel Makalla, Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla katika Ibada iliyofanyika Kanisa la Kiinjili la Kiluthel Tanzania, Azania Front, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment