Mshambuliaji wa timu ya Simba, Paul Kiongera akiruka baada ya kuifungia gori dhidi ya Gor Mahia ya Kenya wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
|
Mashabiki wa Simba wakishangilia
|
Emmanuel Okwi (kulia) na Uhuru Selemani wakizungumza jambo
|
Emmanuel Okwi akipiga mpira wa kichwa
|
Paul Kiongera akiambaa na mpira
|
No comments:
Post a Comment